Mbaroni kwa Kuiba Scania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za wizi wa gari (Scania) , gari hilo limekamatwa Januari 13, 2022 katika Kijiji cha Pingo Wilayani Chalinze wakati likitokea Dar es salaam kwenda Mwanza.

Waliokamatwa ni Hemedi Rajabu (32) na Lusandi Mauya (49) wote ni madereva pamoja na Deosdedit Kimario (32) ambaye alikuwa kondakta wa gari hilo ambalo lilibeba mzigo wenye thamani ya zaidi ya Tsh. Milioni 200 zikiwemo tani 30 za nondo na magodoro ya size mbalimbali 341.

Akizungumza na wanahabari kuhusu tukio hiolo, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani (RPC), Nyigesa Wankyo amesema;

“Mbinu iliyotumika ni kubadili namba za usajili halisi za gari namba T 317 DWL kwenye horse na T 804 BMF kwenye trailler na kuweka namba bandia T 364 DDK kwenye horse na T 467 DTL kwenye trailer,” amesema RPC Nyigesa.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad