Mbeya City "Wapinzani wetu wanaofuata ni Yanga Sc, Tunajua Namba Gani ya Kuwasimamisha Pale Kwa Mkapa"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


"Wapinzani wetu wanaofuata ni Yanga Sc ambao wanaonekana kuwa bora katika msimu huu kwani wapo juu ya msimamo wa ligi kwa tofauti ya pointi nyingi dhidi yetu lakini kama kocha mimi na kikosi changu tupo tayari na tunayo njia ya kuwasimamisha Wananchi katika uwanja wao wa nyumbani, najua itakuwa ngumu ila tutajiandaa kama wao wanavyojiandaa ikibidi tutakuja imara zaidi yao"- Mathiasi Lule Kocha Mkuu wa Mbeya City Fc

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad