Ticker

6/recent/ticker-posts

Msama Achukua Fomu Kugombea U-SpikaMFANYABIASHARA  maarufu, Alex Msama leo Januari 15, amechukua fomu za kuomba uteuzi wa kukiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

Msama amechukua fomu hizo leo katika Ofisi za CCM zilizopo mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, ambapo mpaka sasa zaidi ya Wagombea 65 wamechukua fomu ya kuwa kuwania nafasi hiyo ya Spika wa Bunge.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments