Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mshindi wa Bongo Star Search Ameshinda Kihalali Sio Mchongo Kama Wanavyosema Wengi

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Mshindi wa Bongo Star Search amestahili kabisa kushika namba moja katika shindano hili maarufu Tanzania, BONGO STAR SEARCH.

Uwezo wake wa kuimba sio wa nchi hii, By the way ninajua uwezo wake tangu anasoma @creativearts_udsm , kuna shindano moja pale alichakaza watu vibaya sana na akaibuka mshindi, hivyo ni mzoefu pia wa mashindano kama haya, bila kusahau jamaa anadegree ya muziki kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam.

Wale ambao wanacomment kwamba jamaa amependelewa, wanazingua sana, jamaa ni fundi sana, anaujua muziki Kiutalamu na anakipaji pia, Jamani Kazi iendelee.

@wcb_wasafi @babutale @mkubwafellatmk chukueni kipaji hiki, hamtojutia kuweka pesa zenu

By Hopetygatz

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments