Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mtangazaji Mamy Baby Ateuliwa Kuwa Mjumbe wa Kamati ya Tamasha la Serengeti (Serengeti Music Festival)

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREWaziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa amefanya uteuzi wa wajumbe wa Kamati ya Tamasha la Serengeti (Serengeti Music Festival).

Mtangazaji wa Clouds FM Mamy Baby ni miongoni mwa Wajumbe walioteuliwa na Waziri Innocent Bashungwa kuwa wajumbe wa Kamati ya Serengeti Music Festival

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Dkt. Hassan Abbasi imesema kuwa uteuzi wa wajumbe wa kamati hiyo kwanza utasaidia kuratibu tamasha hilo la kitaifa lenye dhima ya kuwaleta wasanii pamoja.


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments