Mwanamke Afunguka Kuachwa na Mpenzi Wake Baada ya Kumpa Figo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mapenzi haya, mwanadada mmoja amekuwa gumzo kwenye mtandao wa TikTok baada ya kukiri kwamba alisalitiwa na kisha kuachwa na mpenzi wake miezi 10 baada ya kumpatia Figo yake. Colleen Le (30) anayeishi nchini Marekani amesema boyfriend wake huyo wa zamani alikuwa akisumbuliwa na figo tangu ana umri wa miaka 17.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad