Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mwanamuziki Angella Afunguka Kuhusu Harmonize "Umeniheshimu Nakupenda Sana"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Kutoka Kwenye Ukurasa Wa Instagram Wa @anjella_tz
Ameandika............"NI JAMBO LA KUMSHUKURU MUNGU MWAKA TUMEUONA SALAMA, LAKINI PIA NINGEPENDA KUMSHUKURU KAKA ANGU @harmonize_tz NA @kondegang KWA UJUMLA NAKUMBUKA MWAKA JANA TAREHE KAMA YA LEO NILIFIKA OFFICE YA KONDE MUSIC NIKIWA NA BABA YANGU TULIENDA KWAAJILI YA KUONANA NA BIG BOSS @harmonize_tz BAADA YA KUTANGAZA NA KU COMFIRM KUA MIMI NDIYE NITAKAEFANYA NAE COLLABORATION NA IKAPATIKANA #ALLNIGHTSONG KAKA YANGU MUNGU AKUTUNZE POPOTE UKANYAGAPO UKAWE BARAKA UMENIHESHIMISHA KILA SEHEMU😣 NAKUPENDA SANA NA NINAKUKUBALI SANA
HAPPY NEW YEAR🥳🥳🥳''

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments