Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mwijaku Akubali Kushindwa Aenda Lumumba Kuchukua Fomu ya Kugombea Uspika wa Bunge

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Mtangazaji wa CloudsFM kipindi cha LEO TENA Burton Mwemba maarufu Mwijaku amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Uspika kwenye Ofisi za CCM Lumumba DSM, fomu hizo zinatolewa ili kumpata Mtu ataeziba nafasi iliyoachwa na Job Ndugai ambaye alijiuzulu.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments