Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Paula Atoa Povu Uturuki "Msinifuatilie Mambo yangu ni Mazito Sana"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
AKIWA masomoni nchini Uturuki, mpenzi wa msanii wa Bongo Fleva, Rayvanny, Paula Kajala ameamua kutoa povu kwa wale wanaomfuatilia.


Paula amesema; “Usinifuatilie utarukwa na akili mambo yangu huwa mazito sana…” Paula ambaye amezama kwenye dimbwi la mahaba kwa Rayvanny, kumekuwa na habari kedekede kwamba huenda jamaa huyo akarejesha majeshi kwa baby mama wake, Fahyma ambaye amezaa naye mtoto mmoja wa kiume.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments