Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Rais Samia "Msiajiri Marafiki na Ndugu Zenu Katika Taasisi"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURERais Samia amewakemea Mawaziri na Manaibu Waziri kuajiri Ndugu au Marafiki zao ambao hawana sifa katika Taasisi za Wizara wanazozisimamia kwa kuwa kitendo hicho kinaua Taasisi

Aidha, amewataka kuondoleana 'muhali' kwa maana ya kutooneana haya kuambiana inapotokea mtu amekosea katika utendaji wake

Rais amesema muhali na Ajira za kujuana badala ya kuangalia vigezo zinaua Taasisi, na kuwataka Mawaziri wazingatie hilo

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments