Sakata la Barbara Kukamatwa na Polisi, TFF Yakanusha Kumfungulia Kesi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Shirikisho la soka nchini TFF limekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandaio ya kijamii, ikidaiwa Shirikisho hilo limemfungulia mashtaka Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Simba SC Barbara Gonzales.

TFF imetoa taarifa maalum iliyosisitiza haihusiki na mpango wa kumfungulia mashtaka kiongozi huyo, huku ikiwasihi wadau wa soka na wananchi wengine kuacha mara moja kusambaza uvumi huo.



Mapema leo Jumatatu (Januari 24) kumeibuka taarifa zilizokuwa zikidai Shirikisho hilo limemfungulia Mashtaka Barbara Gonzalez kwa kitendo cha kutoa lugha Chafu wakati wa mchezo wa Simba na Young Africans Disemba 11 mwaka jana, baada ya kuzuiliwa kuingia Uwanja wa Benjamin Mkapa eneo la VVIP na watoto ambao kiutaratibu hawakuruhusiwa.

Taarifa sahihi ni Afisa wa TFF aliyefhamaika kama Jacqueline Kamwamu, ndie aliekwenda kufungua shauri hilo kituo cha Polisi.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad