Sakata la Meena Ally Ndio Kwanza Wamempiga TEKE Chura

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Waliofanya ule upumbavu walijua wanamuharibia Meena Ally, kumbe ndio kwanza Wamempa chachu ya kupambana zaidi.


Ukimpiga Chura teke usitegemee kwamba utamuua bali utamuongezea tu Speed afike haraka anapokwenda.


Hivyo hivyo kwa Meena Ally, hivi sasa hajaanguka, ndio kwanza Amepata Followers wakutosha, pia ndio muda amegundua kuwa anapendwa sana na watanzania hata katika matatizo.


Bongo tatizo watu wanawivu sana wameona meena ndio mtangazaji wa kike mkubwa hivi sasa hapa Tanzania hivyo wakaona walete hizi chokochoko, haya wamefeli, wajaribu mbinu nyingine maana ukweli umeshajulikana.


Na niapie tu mwaka huu utaleta mafanikio makubwa sana kwa Meena Ally, atapata michongo mingi sana ya nje na ndani ya nchi.

Hopetyga

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad