Tajiri Namba Tatu Duniani Aanzisha Kampuni ya Kuzuia Kifo na Kuotesha Viungo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Tajiri namba 3 Duniani ambae ni mmiliki na Mwazilishi wa kampuni ya Amazon Jeff Bezos amekusanya jopo la wataalamu wakubwa wa masuala ya Afya duniani na kuunda kampuni (Alton Labs) kwa ajili ya kufanya utafiti wa kuzuia kifo, Kuotesha viungo vya mwili, kuondoa maradhi yaliyoshindikana, mfano Kansa na kupambana na majeraha makubwa.

Mbali na hilo pia tajiri huyo anamiliki kampuni ya Blue origin ambayo ,inampango kuunda kituo cha utalii katika anga za mbali/ nje ya dunia.

C©✍🏾@keviiiy.iam


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad