Ticker

6/recent/ticker-posts

Tanzia: Mwigizaji Mzee Kambaulaya Afariki DuniaMmoja wa Wasanii maarufu ambaye pia ni Mwanahabari mkongwe, Barnabas Maro maarufu kama Mzee Kambaulaya au Baba Bishanga amefariki dunia

Mzee Kambaulaya amefariki Januari 4, 2022 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments