Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Tanzia: Steve Moyo Mchongi Afariki Dunia

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURETaarifa za kuaminika zilizotufikia hivi punde zinasema, Mtangazaji nyota wa vipindi vya michezo kutoka kituo cha Redio Free Afrika, Steve Moyo Mchongi amefariki dunia jioni ya leo Alhamisi, Januari 13, 2022.

Ndugu wa karibu wa marehemu amethibitisha kutokea kwa msiba wa mtangazaji huyo nguli na kuahidi taarifa zaidi kutolewa baadae na familia.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments