Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Usiyoyajua Kuhusu Chama Kurejea Simba...Watoto Wake Kusoma Bongo, Sababu Kubwa iliyomtoa Berkane

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE🚨Watoto tayari wameandikishwa kwenye shule Moja ya kimataifa Jijini Dar Es Salaam, kwakuwa Chama anataka kukaa nao mwenyewe watoto wake

🚨Mwishoni mwa mwezi December alikamilisha utaratibu wa form na vitu vingine vingi vya msingi, hivyo watoto watakuwa hapa Dar Es Salaam kwa masomo

🚨Makazi mazuri pia Jijini Dar Es Salaam kwakuwa pale alipokuwa anakaa awali maeneo ya Mikocheni hivi sasa amepanga Mbunge mmoja maarufu

🚨Rafiki yake wa karibu alikuwepo nchini mwezi mzima kufuatilia Makazi mazuri ya kuendana nao na hatimae wameshapata panapofaa

🚨Moja ya sababu kubwa zaidi ukiachana na yeye kutoendana na maisha Berkane ilikuwa pia watoto wake kukaa nao mbali hakuwa tayari

🚨Berkane walitaka kwenda kumpa Makazi Jijini Casablanca ambapo ilikuwa mwendo wa Masaa sita kutoka Berkane mpaka Casablanca hivyo bado aliona Kuna umbali Mkubwa

🚨Berkane walifanya Kila kitu kumbakisha Triple C ila haikuwezekana na mara zote aliomba kuondoka na Simba ndio ilikuwa jibu lake

📌Kwa wanaoamini Chama ameisha basi mkumbuke kuwa mechi ya mwisho alikuwa Man of the match na kiwango bora sana ikiwa ni muda mchache baada ya kutoka kwenye majeraha

By @jr_farhanjr

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments