Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Waliochukua fomu hadi muda huu kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


#HABARI:Waliochukua fomu hadi muda huu kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

1. Naibu Spika Dk.Tulia Ackson.

2. Aliyekuwa Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi.

3. Aliyekuwa Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi.

4. Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Zungu.

5. Mbunge wa Mufundi David Mwakiposa Kihenzile.

6. Advocate Ukashu.

7. Balozi Dk Emmanuel Nchimbi.

Mchakato wa uchukuaji fomu kwa ajili ya kuwania nafsi hiyo umeanza leo Januari 10 utamalizika Januari 15.


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments