ZAMARADI: Toka nimeolewa sijapata uchungu wa NDOA, msidanganywe vijana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ameandika Zamaradi:

Huu msemo wa ndoa ngumu mi mwenyewe niliusikia tu lakini sikupata kukutana nao ALHAMDULILLAH!! Na MUNGU nisaidie’ wasichana msiogope kuingia kwenye chama, Ndoa sio ngumu, wala sio chungu..!! Ukipata anaekupenda ruka nae kimasai tu, Marriage Sweeeeeet jamani 😉😄’

utasikia watu huko kwenye comment miaka yenyewe minne unaongelea ndoa😁’ jamani ndio nilichokutana nacho sasa nidanganye 🤣🤣🤣’ Haya kutana na Mtu mrefu wangu hapo, Mr kama Mr, CEO wa @smsgarage_tz Mume Wangu mimi!! Kipenzi kabisa!! Nampendaaaaaaaaaa 🌹

VIDEO:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad