Kupitia insta story yake Amber amewekwa wazi kutopendezwa na neno deserve kwenye baadhi ya meza (ikimaanisha watu hitajika katika eneo hilo) jambo alilohoji kuwa wengine hawahitajiki mahali hapo au sio muhimu.
HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE
0 Blogger:
Post a Comment