Anjella aingia kwenye 18 za Moni Centrozone

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Kwa mara ya kwanza rapa wa Majengo Sokonu Moni Centrozone 'Malume ' huenda akaachia ngoma yake ya kwanza akiwa amefanya na msanii wa kike ambaye ni Anjella Tz kutoka lebo ya Konde Gang Music Worldwide.

"Queen Anjella Tz, Watu wa Majengo itabidi utuchapie kibwagizo kwenye mdundo mmoja wa HipHop. Itakuwa collabo yangu ya kwanza na msanii wa kike".

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad