3/06/2022

Bob Risky Mwanaume Kutoka Nigeria Aliyejibadilisha Jinsia na Kuwa wa KIKE Amtamani Diamond Platnumz..Aandika Haya


Mwanamitandao maarufu Kutoka Nigeria @bobrisky222 ametangaza kuja tanzania kwa lengo la kukutan na mwanamuziki @diamondplatnumz mara baada kudai kuvutiwa na kipaji cha mwanamuziki huyo.


Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram, mwanamitandao huyo ameShare picha ya @diamondplatnumz na kuambatanisha na ujumbe alio andika kwa lugha ya kiswahili, kuonesha namna anavyotamani kukutana na mwanamuziki huyo.


HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger