Taifa hilo limewashauri Raia wake kuondoka Nchini #Russia wakati huu ambapo fursa za kufanya hivyo bado zipo, likisema hali ya Usalama haitabiriki na inaweza kuwa mbaya ghafla
Aidha, Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limeonya kuwa athari za kiuchumi kimataifa kutokana na vita kati ya Ukraine na Urusi zitakuwa mbaya zaidi ikiwa mzozo huo utaendelea
Mashambulizi ya Urusi dhidi ya #Ukraine yaingia siku ya 11 huku idadi ya wakimbizi ikitarajiwa kufikia Milioni 1.5
______
Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA