3/17/2022

Diamond Platnumz Aonesha Kutoridhika na Viongozi Waliopewa Jukumu la Kusimamia Sanaa


Mwanamuziki @diamondplatnumz ameoneshwa kutoridhika na viongozi wa serikali waliopewa mamlaka ya kusimamia sanaa.

Kupitia Instastory yake Diamond ameandika " Serikali ina nia njema sana ya kukuza sanaa ila inatakiwa kuwa makini sana na watu wanaowateua kusimamia nyanja mbalimbali katika tasnia zetu. Maana watu hao wanachokifanya ni kuidharirisha Taifa na kufanya Taifa letu lionekane halina weledi"Pamoja na kuandika hayo Diamond Platnumz hajaweka wazi ni viongozi gani ambao amewalenga katika ujumbe wake huu

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger