Diamond Platnumz "Najijua Kwa Kuchiti"Diamond Platnumz; ni superstar wa muziki kutoka nchini Tanzania ambaye ametoa albam fupi (EP) yake ambayo ilikuwa imesubiriwa inayokwenda kwa jina la First Of All (FOA).

Ndani ya EP hiyo yenye nyimbo 10, upo wimbo unaoitwa Nawaza ambapo Diamond au Simba anazungumza mambo kadha wa kadha ambayo yamekuwa yakizunguka maisha yake.

Katika wimbo huo, Diamond amekiri kwamba ananjijua kwa kuwadanganya wanawake, hivyo basi ni jambo ambalo linamzuia kuoa.

“Nilowaza leo nishawaza sana ninachoshindwa kuoa kipi, nikagundua naepusha lawama, maana najijua kwa kuchiti…” anasema Diamond.


Diamond amekuwa na msururu wa wanawake kuanzia enzi za Wema Sepetu, Zari The Boss Lady, Hamisa Mobeto, Tanasha Donna na sasa gari limewaka kwa Zuchu.
______

Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Below Post Ad