3/05/2022

Diva Atoa Mpya "Nampenda Mke Mpaka Natumia SWAT Analysis Kudumisha Penzi"Diva ameandika haya Kwenye Ukurasa Wake Instagram:

Nitajiwapo Mapenzi Huwa Naipata Picha Yako Kwanza Afu Naipata Yangu Na huwa inaniliwaza ...
Yan Kama Mke Wako Halali Kabisa Naomba Kusema Mimi Nakupenda Mume Wangu Kwa Hali Na Mali Kwa Shida Na raha .. Na kusema ukweli asante sana kwa kutafuta watu wanifundishe Kupika @sheikh_abdulrazak_salum ila asante Umenipa Familia Yenye Upendo Na Mawifi Jaman mewapendaaaa ... Trust me Ni wewe Peke ako uko Moyoni Mwangu .. Mi na we ni Mpaka Milele . Wazungu wanasema This is Forever!. kama kuna anaekaa kuhesabu ahesabu Mpaka Imla ila yo my forever ... My Man My Priority , you love me better better than i love myself na ntakuombea milele .. such a sweetheart!.
Nashukuru Baraka Zake Maulana .. Yan Mi ni wale wa wako akiwa kwako yan tukiwa wote nahakikisha we live in a moment tena on a full ... smilling and happiness yan all over ...ukitoka nakuacha u enjoy want you to be happy on a 💯 .....
with me , naitumia SWOT analysis mpaka kwenye ndoa, weakness & strength zako na zangu zitatupa Baraka zaid na hasa lets jus focus on love , love , love 🤍
Nilimuomba Mungu anipe Mume Mweupe, Handsome anaejua lugha zaid Ya tatu ikiwemo Kiingereza Na amanipatia Vile nataka .. Kwa mahaba unayonipa unanipa Mahaba Ya Milioni 500, Yo love is a billion dollar love mi amore , sijitapiii ila Jaman Nna Enjoyyy !.... licha ya yote unatimiza wajibu wako wote kama mume Yarab!.
umenipa Wakwe wenye upendo .. Yan Amani Yangu Ni Kuona tuna furaha na tuna tabasamu!. na tunaendelea kuwa Zaid Ya Mume Na Mke Sababu sisi ni Marafiki zaid na zaid wewe ni Roho Yangu ... Kiboko Yangu!. halal Yangu Mume Wangu .. Wallah sijawahi Penda Hiviiii .. ila kupendwaaaaa sasaaa aihhhhhhh Raha Kupendwa Rahaaaa Raha Jaman Rahaaa ... ndio mana nakupostpost ili nikuone tu sura yako kwenye insta yangu nipate Huba hulu. 🧡 Na licha Ya Yote unaenda nipa sherehe ya harusi Ya ndoto zangu!. Mayne is Blessing .. i see , i respect and i value yo every move!. NAKUPENDA ....... sanaaaaaa, sanaaaa !. Jaman i can't even breathhhh Yan i lov you with every piece of me!. all of me loves all of you My BABY!.
Happy Saturday Mi love ...
Mostly .. few days before our big wedding celebrating!. classy ... filled with love & happiness!.
🧡

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger