3/20/2022

Divalovess "Hizo Nominations Kwanza Nimeshika Kichwa, Yan hii Ya Darasa, Rapcha na Young Lunya ndo imenivunja Mbavu"


Hivi Basata Wako serious Kabisa na walichokifanya? au basi .. 🀨
Nilikuwa naandika nafuta, saa Hii ndio mtamuelewa sana @diamondplatnumz kwann ana focus sana na soko la nje , hivi wanajua wanachokifanya kweli?!
Maana ujue nilitaka kucheka afu nikakuta nasikitika sana naona vibaya yan .. Hizo nominations kwanza nimeshika kichwa, Yan hii Ya Darasa, Rapcha na Young Lunya ndo imenivunja mbavu πŸ˜‚πŸ˜‚ against all odds msemaji wa Muziki i mean no hard feelings but this is funny af πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anyways let me watch @netflix Young Famous & African .. niko ep3 now ila 🀣🧒

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger