JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA
Ndani ya siku 5' tangu ilipo achiwa rasmi EP’ ya First Of All kutiloka kwa mwanamuziki @diamondplatnumz , imefanikiwa kufikisha zaidi ya streams million 5 katika mtandao huo.
Hii inamaanisha kuwa Extended Playlist hiyo yenye jumla ya mikwaju 10 imekua ikipata wastani wa streams million 1 kila siku tangu ilivyo pakiwa rasmi katika mtandao huo wa kuuza na kusimamia kazi za muziki.
0 Blogger:
Post a Comment