3/05/2022

Fahamu Hali ya Mchezaji wa Yanga Jesus MolokoMabingwa wa Kihistoria Ligi Tanzania Bara Young Africans Sports Club imeelezea hali ya Winga wao Mkongo, Jesus Ducapel Moloko ambaye kwa sasa ni majeruhi.


Yanga SC imesema kuwa Moloko amefanyiwa upasuaji jana siku ya Ijumaa March 4, 2022 na umekwenda vizuri.

”Mchezaji wetu Jesus Moloko amefanyiwa upasuaji leo. Upasuaji huo umeenda vizuri na anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa kipindi kifupi.”- Yanga

Moloko aliumia kwenye mchezo wa Michuano ya Azam Sports Federation Cup dhidi ya Biashara United katika uwanja wa Benjamin Mkapa katika dakika ya 44 na nafasi yake kuchikuliwa na Dikson Ambundo.HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger