MAONI yenu tumeyaona na kuyazingatia.. Kwa ufupi tumeziona pande zote TATU za HISIA, wapo wanaoamini ANAFAA.. wapo wanaoamini HAFAI, wapo ambao wapo curious wanataka kujua atafanya nini akipewa MUDA..
————-> tunaomba muwe na subira.. kesho SHIRIKISHO litatoa TAMKO.. 🙏🏾
______
Usikose Elimu ya pesa ni muhimu mno,na zaidi ukilipia Tsh 1000 ebook hapo Chini unaweza kushinda Tsh Laki moja bofya HAPA