3/16/2022

Harmonize Kuendeleza Ukarimu wa Marehemu Mengi Kwa Walemavu...Atangaza Kusherehekea Birthday Pamoja nao

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPA

Katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa mwanamuziki @harmonize_tz ametangaza kuja na tamasha lake la #oneloveconcert lenye dhumuni ya kuchangia na kufurahia na watu wenye mahitaji maalumu tarehe 20.03.2022 mlimani city dar es salaam.

Kupitia taarifa yake aliyoShare katika ukurasa wake wa Instagram @harmonize_tz ameleeza kuchangia kiasi cha million 2 huku akitaka kuungana na wadau na mashabiki mbalimbali kuchangia chakula, nguo, fenicha, vyombo pamoja na fedha kuanzai kiasi cha shiling 1000/= na kuendelea


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger