Japan Yaziona Meli za Kivita za Urusi Zikielekea Ukraine

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Meli nne kubwa za kivita za Urusi zimeonekana zikisafiri karibu na visiwa vya Japan vya Honshu na Hokkaido zikielekea Ulaya, Reuters inaripoti.

Picha zilizochapishwa na wizara ya ulinzi ya Japani zilionyesha kile kilichoonekana kama malori ya kijeshi ndani ya meli hizo

Alipoulizwa iwapo huenda zilikuwa zinaelekea Ukraine, msemaji wa waziri wa ulinzi wa Japan aliambia Reuters, “inawezekana”.

Operesheni ya kijeshi ya Urusi haijaenda kama ilivyopangwa hadi sasa, huku vifaa vya kijeshi vikiharibiwa kwa kiwango kikubwa kuliko ilivyotarajiwa, kulingana na wachambuzi wa kijeshi.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad