3/15/2022

Kimenuka...Wafanyakazi wa MANGE wakamatwa, KIMAMBI athibitisha na kuandika hayaWafanyakazi wa MANGE wakamatwa, KIMAMBI athibitisha na kuandika haya

Reposted from @mangekimambi_ Yes, mlichosikia ni kweli kabisa. 

@mangekimambi___app ofisi nzima watu zaidi ya 10 wako central toka jana asubuhi. 
.
.
Nna mengi ya kusema, yani nataka kuharisha haswa ila sasa inabidi nitumie akili. 
.
.
Wamefunguliwa kesi ya matumizi mabaya ya mitandao kutokana  na ile clip ya Professor Jay. Wanataka kujua nani alienipa ile clip. Tatizo ni kwamba hao wafanyakazi hata wawachape viboko hakuna hata mmoja wao ataewapa jibu. Hata wawaeke ndani mwaka hakuna wa kuwapa jibu maana hawajuiiii. Mimi peke yangu ndo nina uwezo wa kuwaambia clip imetokea wapi ila mimi huwa nafuta chats zangu soon as nikifanyia kazi kuepusha sources zangu kujulikana iwapo ntapoteza simu
.
.
It’s seems wanawashikilia wafanyakazi wangu kama kunikomesha mimi, ila tatizo ni kwamba mimi niko marekani nimeweka nne wanaokoma ni watoto wadogo, watoto ambao hawana hata impact yoyote na app, hao watoto wako ndani toka jana asubuhi na Mange Kimambi App onaendelea kama kawaida kilichokuwa affected kwenye App ni hard news na sports. Mpaka hapo ilibidi wajue wamewashikilia innocent people.
.
.
So it seems wanataka mimi niwaambie nani kanitumia ile clip ndo hii kesi iishe ili waweze kudili na huyo mtu. Tatizo ni moja. 
1. Siwezi kumjua huyo mtu maana nilishadelete chats zetu. 
2. Hata ningekuwa sijadelete chat bado nisingetaja nani kaniambia. Yani hata waifunge App , siwezi kusema sources zangu, nini kuwakamata wafanyakazi,  hata nifanywe nini nisingemtaja aliesema. Bora nife kuliko kusema kuwataja watu wanaonipa habari.Yani niko tayari app ifungwe nirudi kuwa jobless ila siwezi kumwaribia mtu mwingine maisha yake kwa kumtaja ili nijiokoea mimi.I ain’t no snitch!!VIDEO:HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger