3/18/2022

Kimeumana Ruby na Sarafina...Ruby Awataka Mashabiki Wake Kutotoa Support Wimbo Mpya wa Sarafina Aliomshirikisha
Wasanii wa kike, Ruby pamoja na @saraphina__tz ambao wiki hii wameachia kolabo yao inayoitwa Number One,wameonekana kutofautiana huku Ruby kupitia group lake la WhatsApp akiwataka mashabiki zake kuacha kusupport ngoma hiyo ya Saraphina ambayo Ruby kashirikishwa.


Inaaminika chanzo kikubwa cha utofauti huo ni Saraphina kwenda kinyume na makubaliano ya wawili hao hasa matumizi ya Madansa kwenye video hiyo.

Sajo/Rickmedia

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger