3/04/2022

Kituo Cha Mitambo ya Nyuklia Ukraine Chashambuliwa na UrusiKituo cha Mtambo mkubwa wa Nishati ya Nyuklia Barani Ulaya kilichoko #Ukraine kimelengwa katika mashambulizi ya Urusi usiku wa kuamkia leo Ijumaa

Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine, Dmytro Kuleba ametaka kusitishwa mara moja kwa mapigano katika eneo hilo ili kuepusha Maafa

Msemaji wa Mtambo huo wa #Zaporizhia, Andrei Tuz amesema shambulio la makombora lililofanywa na Vikosi vya Urusi, limesababisha Moto kuwaka katika mojawapo ya sehemu ya kituo hicho

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger