Ticker

6/recent/ticker-posts

Kumekucha Huku..Diva Loveness Aanza Drama Kwa MKE Mwenza "Mimi Sio Mwenzenu Kiroho Safi"

 Habari Kama Hizi Zinapatikana UDAKU SPECIAL App, Download HAPA Bure: Link here>>>


Mtangazaji wa kipindi cha Lavidavi Cha wasafi fm @divatheebawse ametuma ujumbe kwa mtu aliemtaja kama mke mwenza [Mke Mwenzake] na wengine wanaotaka kujipatia umaarufu kupitia jina lake na ndoa yake na @sheikh_abdulrazak_salum .

Kwenye Insta Stori Diva ameandika,

"Mke Mwenza or wake wenza Ma Ex na wengine!. Pls jaman build my brand for years ikno a little fame is good but you can now relax after cheap publicity Punguzen kiki kwa kutumia Jina Langu Jaman n do you n let me do me!.kiroho safi tu imetosha & closing this chapter would not like to be involved with any kinda mess & drama that y'all tryna create and i have a career & image to Protect !. Mi sio mwenzenu kiroho safi tuuu Im too big for this shit .. besides I'm legal yall know pia nawashauri tutafute kazi za kufanya some of us got some work to do y'all kno what it is ... Mbarikiwe thanks have a career"

HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

________________________________

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments