3/15/2022

March 18th matukio ya kihistoria yanaenda kuandikwa kwa mastaa wafuatao


March 18th matukio ya kihistoria yanaenda kuandikwa kwa mastaa wafuatao.

1. Baada ya safari yake ya muziki kujaa chamgamoto nyingi,Msanii @richmavoko anaachia Albamu yake aliyoipa jina la FUNDI.

2. Baada ya ukimya wa muda mrefu kwenye muziki, msanii @ommydimpoz anaachia ngoma yake kama utangulizi wa albamu yake anayoiachia hivi karibuni.

3. Diamond Platnumz & @zarithebosslady kwa mara ya kwanza wanaonekana Netflix kupitia Makala inayoitwa YOUNG,FAMOUS & AFRICAN.  

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger