3/17/2022

Marekani imekanusha Taarifa ya Hushpuppi Kutekeleza wizi wa Sh milioni 926 kwa njia ya mtandao Akiwa Gerezani.


Marekani imekanusha taarifa kuwa raia wa Nigeria, Ramon Abbas, maarufu Hushpuppi, ametekeleza wizi wa $400,000 (TZS milioni 926) kwa njia ya mtandao akiwa gerezani.

Hushpuppi alikamatwa mwaka 2020 kwa tuhuma za wizi wa jumla ya TZS bilioni 55.6, na anashikiliwa nchini Marekani.  HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger