3/04/2022

Marekani Yatoa Tamko Baada ya Mbowe Kuachiwa Huru


Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Donald J. Wright amesema kuachiwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu ni nafasi nzuri kwa Tanzania kubadili ukurasa na kutazama maisha yajayo

Amesema “Sasa tufanye kazi kwa pamoja tukiwa na matarajio ya kufanya mambo makubwa katika fursa zilizopo. Tutengeneze kesho yenye amani, ustawi na uhuru kwa watu wote"

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger