3/05/2022

Meja General Amshauri Putin Wapige Mapigo Mabaya ili Ukraine Ijisalimishe

Nafasi za Ajira Jiunge Group la Telegram la AJIRA YAKO Kwa Kubonyeza >> HAPAMeja Jenerali wa #Chechnya, Ramzan Kadyrov amemuomba Rais Vladimir Putin aruhusu mapigo mabaya ya kustukiza ili #Ukraine isalimu amri ndani ya muda mfupi (saa 48)

Ramzan ambaye vikosi vyake viko vitani ameshauri kuachana na mapatano ambayo hayatakuwa na maana zaidi ya kusaini karatasi

Amesema haweza kuvumilia kuona wanajeshi wake wanauawa. Na kadiri wanavyozidi kuchelewa ndivyo watakavyokumbana na vikwazo zaidi

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger