Habari Kama Hizi Zinapatikana UDAKU SPECIAL App, Download HAPA Bure: Link here>>>
Mhadhiri wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Adam Semlambo ameingia matatani, akihusishwa na rushwa ya ngono ambapo uongozi wa chuo hicho, umemsimamisha kazi kuanzia jana, machi 2, 2022 kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili.
Taarifa iliyotolewa na kaimu mkuu wa chuo hicho, Dkt. Cairo Mwaitete, imesema uongozi wa chuo hicho umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikiambatana na picha zisizo na maadili, ikimtuhumu mhadhiri huyo kwa vitendo ambavyo haviendani na maadili ya utumishi wa umma.
Source: GPL
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
________________________________
Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE
0 Comments