Mrembo Huddah Atangaza OFA ya Kujivinjari Naye Dubai

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA






Mwanasosholaiti Huddah Monroe ametangaza kutoa ofa kwa mtu yeyote mwenye uchu wa kujivinjari na yeye kwa siku tatu Dubai.

Akitangaza ofa hii katika instastories zake, Monroe amesema amekaribisha mtu yeyote anayetaka kusafiri kuenda mjini Dubai na kukaa na yeye kwa siku tatu kwa shilingi 6500 pekee.


“Shinda safari ya kuenda Dubai na mimi… matumizi yote yatasimamiwa,” ameandika Huddah

Mwanamitindo huyo ametoa maelezo Zaidi kwamba yeyote atakayekuwa tayari kutoa kima cha shilingi 6500, atajinyakulia nafasi adimu ya kukaa na yeye kwa muda wa siku tatu za kusherehekea na tafrija isiyo na kifani.



“Utatumia tu shilingi 6500 na utakuwa Dubai na mimi kwa muda wa siku tatu. Tutajumuika kwa chajio na tafrija kwenye klabu,” aliongezea mwanamitindo huyo.


Siku za hivi karibuni Huddah amekuwa akizungumziwa kwenye mitandao haswa kuhusiana na suala zima la kupata watoto na mambo ya kuweka sura kwenye mitandao
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad