3/06/2022

Muda ukifika nitazungumza- MboweMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe, ameomba aruhusiwe kuendelea kunyamaza kwa kipindi hiki ili awaone ndugu na familia yake pamoja na wakristo wenzake na wakati wa kuzungumza utakapofika atazungumza na Taifa.
Kauli hiyo ameitoa hii leo Machi 6, 2022, wakati aliposhiriki ibada na kutoa shukrani katika kanisa la KKT Azania Front, Posta Dar es Salaam.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger