Ticker

6/recent/ticker-posts

Muonekano MPYA wa Diamond Platnumz...Hapo Vipi

 Habari Kama Hizi Zinapatikana UDAKU SPECIAL App, Download HAPA Bure: Link here>>>


Mionekano kwa wasanii si jambo la kuchukulia poa, bali ni kazi. Ni moja ya njia za branding na kujiweka machoni kwa mashabiki muda wote.

Supastaa Diamond Platnumz ambaye anafanya vizuri na EP yake mpya ya "First Of All" ameamua kuendelea kusherehekea mafanio ya EP yake akiwapa pia mashabiki muonekano / style mpya ya kichwani mwake, kwa kuzinyoa nywele zote (Kipara).

Unatoa alama ngapi juu ya muonekano huu mpya wa Diamond⁉️

HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

________________________________

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments