3/05/2022

Mwanamke Aliyebadilisha Jinsia Kutoka Kike Kwenda Kiume Azuiliwa Kutoka Ukraine...Atakiwa Kupigana Vita

Nafasi za Ajira Jiunge Group la Telegram la AJIRA YAKO Kwa Kubonyeza >> HAPAMwanamziki Zi Faamelu ambaye mwanzo alikuwa mwanaume kabla ya kubadilisha maumbile na kuwa mwanamke, amezuiliwa kuondoka nchini Ukraine kwa sababu bado anatumbulika kama mwanaume katika vyeti vyake, hivyo anatakiwa kubaki Ukraine na kupigania taifa lake.
Serikali ya Ukraine iliamuru wanaume wote kuanzia umri wa miaka 18 hawataruhusiwa kuondoka nchini humo kwa ajili ya kupambana katika vita ya Urusi.

Zi Faamelu ame-post video insta story akiwa analia na kuomba makundi ya haki za binadamu yamsaidie kutoka Ukraine.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger