Mzee Yusuph Amkosoa Diamond Platnumz Sakata la Kukataa Kushiriki Tuzo za Tanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwimbaji nyota wa muziki wa taarabu nchini Mzee Yusuph ambae pia ni moja ya viongozi wa baraza la sanaa tanzania , ameonesha kutokubaliana na kitendo cha mwanamuziki Diamond platnumz kukataa kushiriki katika tuzo zilizo andaliwa na serikali kupitia baraza hilo.

Mzee Yusuf amedai kuwa ni vyema kwa msanii kama #Diamond Kushiriki tuzo hizo ili kutoa hamasa kwa mamia ya vijana wanaotamani kuwa wanamuziki.

Kauli hiyo imekuja siku chache baada ya Diamond Platnumz kueleza kutotamani kushiriki katika tuzo hizo zilizo andaliwa na serikali, akidai kuwa anapenda zaidi tuzo za digital.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad