Wanaharakati Nchini Urusi wanasema Padri John Burdin wa Kijiji cha Karabanovo amekamatwa baada ya kutoa Mahubiri ya kukemea Vita na anatarajia kufikishwa Mahakamani leo
Padri huyo amekosoa mapigano yanayoendelea kati ya Urusi na #Ukraine na amekuwa akichapisha picha za kupinga vita katika tovuti yake. Kukosoa matumizi ya Jeshi ni jinai kwa mujibu wa #Sheria iliyopitishwa na Bunge la Urusi wiki iliyopita.
HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE
0 Blogger:
Post a Comment