3/07/2022

Putin "Vikwazo vya Magharibi ni sawa na tangazo la vita"

Nafasi za Ajira Jiunge Group la Telegram la AJIRA YAKO Kwa Kubonyeza >> HAPAKulingana na Rais wa Urusi Vladimir Putin, vikwazo vya Magharibi “ni sawa na tangazo la vita, alisema Jumamosi, kulingana na shirika la habari la Reuters, lakini tunamshukuru Mungu kuwa bado hatujafikia hilo”.


Kufikia sasa, msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov alikuwa ametishia kulipiza kisasi dhidi ya vikwazo hivyo, bila kutoa maelezo zaidi.

Alisema jaribio lolote la mamlaka nyingine kuweka ‘no-fly zone’ nchini Ukraine litazingatiwa na Urusi kuwa ni hatua ya kuingia kwenye mzozo wa kijeshi. Hatua hiyo alisema itakuwa na matokeo ya janga la kivita kwa Ulaya na dunia.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger