AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Rais Samia Suluhu ametembelea Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa leo ambapo akiwa Shuleni hapo ametimiza ahadi ya kukutana na Mwanafunzi Emmanuel Mzina ambaye aliwahi kuongea nae kwenye simu na Mwanafunzi huo akaomba kuonana na Rais.
Baada ya mazungumzo mafupi, Emmanuel aliomba apate nafasi ya kuzungumza mazungumzo ya faragha na Rais Samia na Rais akakubali ombi hilo.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK