3/16/2022

Sakata la Lukamba na Mama Mtoto Wake Lazidi Kupamba Moto...Lukamba Atoa Tamko


Photographer Wa Diamond Platnumz, Lukambaofficial Aweka Wazi Kutokuwa Na Mahusiano Na Mzazi Mwenza Shuu

Kupitia Ukurasa wake Wa Instagram Amethibitisha Hilo Kwa Kuandika 👇


"Nipende Kusema Kwamba Sina Mahusiano Na Mzazi Mwenzangu, Kila Mtu Anaishi Maisha Yake Na Hakuna Anayemtaka Mwenzie, Mimi Nimeowa Na Yeye Anamhusiano Yake" - Lukamba

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

Share:
Loading...

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger