3/19/2022

Shirikisho la Muziki Tanzania Latoa TAMKO Kuhusu Uteuzi wa Steve Nyerere


Kufuatia sintofahanu na minong'ono ya hapa na pale toka kwa wadau mbalimbali juu ya uteuzi wa Steve Nyerere kuwa msemaji mkuu wa shirikisho la muziki Tanzania. Hatimaye shirikisho hilo limeyasikia malalamiko hayo na leo limetoa taarifa kwa Umma.

Taarifa hiyo imetolewa na Kaimu Mtendaji, rappa Fid Q ambapo pia inawataka wasanii wajitokeze kwa wingi siku ya Jumatatu, Machi 21, pale Jangwani Sea Breeze Resort kwa ajili ya kupata muafaka na maridhiano ya jambo hilo.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger